GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,646
- 10,863
Wana ubwabwa na mtori?Wale wote manotaka kujionea chopa kwa karibu hitaji lenu limepata ufumbuzi! Kwa siku 16 mfululizo chopa ya CHAUMU itakuwa hewani kuwaburudisheni nyote!
Sikumbuki tarehe, lakini ni kwa siku kumi na sita mfululizo!
Sikumbuki pia kama watatoa na nauli, au kama kutakuwepo na malori ya kuwasomba watu kwenda mkutanoni kujionea chopa! Lakini unaweza kuwapigia kwa namba ya KATIBU MKUU wao mpya!
Utahudhuria?
Mimi sitakuwa na nafasi!!!
Inawezekana! Inasemekana wana hela mpaka wanaumwa!!!Wana ubwabwa na mtori?
Bado wanasajili wanachama wapya! Fuatilia vizuri. Inawezekana kutakuwepo na "nauli" kwa kila mwanachama mpya, hasa kama utatokea Chama fulani!Turuhusiwe kudandia pia ili na Sisi tulipiwe nauli wakati WA kurudi
NI ile 15B ya KigogoInawezekana! Inasemekana wana hela mpaka wanaumwa!!!
Nchi yangu Tanganyika! Mabilioni yanchezewa halafu kesho bakuli linaenda kutembezwa kwa Wazungu kuwaomba hela ya kujenga vyoo!NI ile 15B ya Kigogo
Kuwakomoa akina nanilii...Hivi umuhimu wa hicho chama ni nini kama sio kupoteza hela za wananchi