CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 20,976
- 40,958
Abdul amesitisha huduma, aliwastukia kuwa wasingetoboa hivyo alikuwa anatoa hela hatua kwa hatua hapo walipofikia amejiridhisha kuwa hawabebeki kwani hata kupewa majimbo yale ya nusu mkate italeta zogo kubwa kwa sababu hawaungwi mkono kabisa.CHAUMA mlikuja na nguvu ya kutisha. Naona pumzi imekata. Labda sababu ya maokoto. Mikutano haipo kama vile Chama kimekufa. Amkeni tunawasubiri.
Tena mbaya zaidi alizomewa nyumbani kwao kabisa alikozaliwa na kukulia.Nilimuonea huruma Catherine Ruge wakati anazomewa akawa anadai yeye ni yuleyule hajabadilika.
Ila wanasiasa hatari, Yaani mmepambana kujenga chama kwa miaka 20+ halafu unakuja kukiacha kisa kashinda usiyempenda, duh huku mkidai demokrasia🤣🤣🤣
Wanavizia watakaotemwa kura za maoni ccm labda...
siasa za kufuata mkumbo, bora warudi chadema wao au waende ccm kabisaNGUVU zimewaishia walipo ona Mbowe hajawaunga mkono
Tena mbaya zaidi alizomewa nyumbani kwao kabisa alikozaliwa na kukulia.
siasa za kufuata mkumbo, bora warudi chadema wao au waende ccm kabisa
Hahaha,Ushauri wangu kwa mzee Rungwe, hizo hela weka benki, Kula wali polepole, achana na kampeni, hizo hela watakula hadi vijukuu. Ukifanya kampeni kina Mdee watapita nazo, huwajui wachaga wewe, kiboko yao Lissu tu
Watoa asali walitegemea wapate nyomi kuliko cdm, badala yake wamejikuta watoa asali wamejikuta wanatoa hela nyingi impact ikiwa ndogo. Wamerudi kwenye drawing board ili waone watoke vipi.CHAUMA mlikuja na nguvu ya kutisha. Naona pumzi imekata. Labda sababu ya maokoto. Mikutano haipo kama vile Chama kimekufa. Amkeni tunawasubiri.
Ahaa,,ndio nikaona picha ya chopa imebebwa kwenye roli sikuelewa,kumbe ilikua Chopa yetu Chauma?Awamu ya kwanza hawakuimaliza, waliishia njiani. Walipanga kuzunguka siku kumi na SITA wakaishia siku Saba na helicopter kuharibika.