Ushauri wangu kwa mzee Rungwe, hizo hela weka benki, Kula wali polepole, achana na kampeni, hizo hela watakula hadi vijukuu. Ukifanya kampeni kina Mdee watapita nazo, huwajui wachaga wewe, kiboko yao Lissu tu
Wamefeli kabisa. Mikutano wameishia njiani. Baadala ya siku kumi na SITA wao wamefanya siku Saba. Halafu helicopter ili haribika na Mzee kuugua ghafla, so hakuna mafanikio Bali majanga.
Wamefeli kabisa. Mikutano wameishia njiani. Baadala ya siku kumi na SITA wao wamefanya siku Saba. Halafu helicopter ili haribika na Mzee kuugua ghafla, so hakuna mafanikio Bali majanga.
CHAUMMA wajifunze kwa ACT mwaka 2015. Na mikwara yote ya kukinanga CHADEMA wakapata Jimbo moja na kura za urais elfu tisini tu, mwishowe wote wakahamia CCM na kumuacha zitto peke yake.