CHAUMMA chaumwa

CHAUMMA chaumwa

Hakijatoa taarifa rasmi

Hakijasema popote.. Lakini hali ni tete sana kinapumulia mashine.. Na mipira ya kutolea uchafu .. Kiko chumba cha mahututi

Waliojofanya ndugu jamaa na marafiki, wamekikimbia, wamekitenga wamekisahau sasa bado kukikana!

Hali ni dhoofu bin taaban.. Hakina msaada wowote.. Kinachosubiriwa ni kukata roho tuu
Shetani hana rafiki sasa wameamini
Sasa hakisikiki popote

Hakisemwi popote
Hakitajwi popote
Hakiandikwi popote
Hakika chauma chaumwa tukae mkao wa kutandika tanga
Mungu sii Njomba Athumani wala Njomba Nchumari
 
Haaaaaahaaaaaaa

Chaumma kusambaratika muda wowote kuanzia sasa .
Njaa mbaya sana
1771263045720.jpg
 
Hakijatoa taarifa rasmi

Hakijasema popote.. Lakini hali ni tete sana kinapumulia mashine.. Na mipira ya kutolea uchafu .. Kiko chumba cha mahututi

Waliojofanya ndugu jamaa na marafiki, wamekikimbia, wamekitenga wamekisahau sasa bado kukikana!

Hali ni dhoofu bin taaban.. Hakina msaada wowote.. Kinachosubiriwa ni kukata roho tuu
Shetani hana rafiki sasa wameamini
Sasa hakisikiki popote

Hakisemwi popote
Hakitajwi popote
Hakiandikwi popote
Hakika chauma chaumwa tukae mkao wa kutandika tanga
Nchi Inaumwa CD4 zimeshuka
 
Mwenye project aliwapa chopa wiki za mwanzo akiamini hayo matapeli yatavuta watu mikutanoni ila aliposoma upepo akayatelekeza hata fungu la kampeni za kiinimacho likachelewa na viti vya ubunge feki walivyoaihidiwa matapeli kama akina Yericko Nyerere vikageuka hadithi
 
Back
Top Bottom