Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,928
- 828,569
Hakijatoa taarifa rasmi
Hakijasema popote.. Lakini hali ni tete sana kinapumulia mashine.. Na mipira ya kutolea uchafu .. Kiko chumba cha mahututi
Waliojofanya ndugu jamaa na marafiki, wamekikimbia, wamekitenga wamekisahau sasa bado kukikana!
Hali ni dhoofu bin taaban.. Hakina msaada wowote.. Kinachosubiriwa ni kukata roho tuu
Shetani hana rafiki sasa wameamini
Sasa hakisikiki popote
Hakisemwi popote
Hakitajwi popote
Hakiandikwi popote
Hakika chauma chaumwa tukae mkao wa kutandika tanga