Hawa viumbe wana misuli inayoweza kuvutika kirahisi mno...
Chatu mkali porini mwamuogopa x 2
Mnyama hatari asiyo......
Hupenda maporini......
Kibao hiki sijui kiliimbwa na Bendi gani ?
Eid Mubarak........Dr......
Dr hata sijui huwa wanaitikiaje...lakni imeenda vyema kabisa...vipi weye pande za Yaeda?
Hivi mbwa huwa anapatwa na kitu gani mbaka anajipeleka mwenyewe?halafu huyo mbwa kaenda mwenyeeeeeeewe......unadhani chatu alimfuata........
Duh!kwakweli wanatisha vibaya sana!Hawa viumbe wana misuli inayoweza kuvutika kirahisi mno...
ilienda vizuri.....ila Dr ulipotea......mimi nilikuwa maeneo ya WaterFalls.......
Hivi mbwa huwa anapatwa na kitu gani mbaka anajipeleka mwenyewe?
Hawa viumbe wana misuli inayoweza kuvutika kirahisi mno...
Hawa viumbe wana misuli inayoweza kuvutika kirahisi mno...