Chatu afa baada ya kumeza Nungunungu


Hilo ni fundisho kwa Chatu wengine wenye tabia km hiyo.
 
Na mim huwa najiuliza hilo swali, ila nadhani sio rahisi chatu kumkamata chui
 
huyo chatu nae mjinga kwani hakuona kama anachomwa mdomoni, si angemtema mapema kabla hajammeza?? R.i.p wote
 
Watanzania tukikubali kuwapa chadema/ ukawa hii nchi tutakuwa sawa na huyo chatu. Lazima nchi yetu itaharibiwa vibaya.

Mandla.
 

Hii naifananisha kama picha la ccm na lowassa wakikubali kumpa nafasi ya kuiwakilisha kwenye uchaguzi kazi wanayo ya kumsafisha kwa lundo la kashifa alizonazo na kumtosa nayo ni ishu vile vile, kwa hiyo tutalajie yalioyo mpata chatu na nungunungu kwa cmm na lowassa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…