Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,142
Reaction score
24,447
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.

Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.

Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
 
Kisipojengwa awamu hii tusahau kupata chuo kikuu cha serikali kanda hii walivyopania kutukomoa sisi wa huku.
 
Tujengewe na gereji kubwa na ya kisasa kuliko zote Tz
 
Mimi napendekeza ichongwe mfereji wa bahari Chato ili ijengwe bandari kubwa kabisa . Haya mambo yanawezekan tuu
 
Duh.... imagine sisi ni wafipa na haya ni majungu....sasa kwa miaka mi 5...lazima mwishoni mwa mi 5 tutakukuwa Wanga kabisa.
 
Your shit shouldn't get better by using our hard earned tax money you ****..........fool!
Umeingia mkenge mwenyewe. Tayari nimeshakuwini kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa nataka na kutafuta.

Usiku wa leo Nitalala vizuri. Hapa nilipo naruka ruka punching the air violently, vigorously and aggressively with jubilation.
 
Kinakuja mkuu somesheni watoto,tena Cha science, usibeep , ulishapigiwa mda mrefu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…