Ila k Ina nguvu acha kabisa, jamaa na akili zote na mapesa yote niliona screenshot zake anachat na amber heard mpaka nikashangaa, jamaa anabembeleza balaa afu Dem anamjibu kunya kunya tu...
Ila k Ina nguvu acha kabisa, jamaa na akili zote na mapesa yote niliona screenshot zake anachat na amber heard mpaka nikashangaa, jamaa anabembeleza balaa afu Dem anamjibu kunya kunya tu...
Binadamu ana pande mbili za maisha binafsi na maisha ya kibiashara, tukiangalia mtu kwnye personal life kwasabb haituhusu watu wa nje tutaona weakness nyingi sana lkn ndo maisha naamini atawew side ya pekeako una mambo yako ambayo watu wakiyaona ni aibu so ni kawaida tu. Kwenye upande wa biashara ndo main focus, lets talk about his Business not his personal life because mpenzi wake hana uhusiano wowote na Grok.