Mwenyekit wa ccm kata ya sombetin arusha Gerald Munish pamoja na katib wa ccm Arusha Mary chatanda,wamesababisha vurugu baada ya kuja kwenye kituo cha mbauda na gari lililosadikiwa kuwa na kura,na pia munish alikuwa akipakia watu na kuwasomba kuelekea kituon.
Magar hayo ni T.399 landcruser na T.911 AMW.
Chatanda bado yupo ila gar limeondoka.
Nitawapa update zaid
Magar hayo ni T.399 landcruser na T.911 AMW.
Chatanda bado yupo ila gar limeondoka.
Nitawapa update zaid