Chat ya private je?

Chat ya private je?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Hii chat naiona iko general sana kama ilivyokusudiwa. Kuna wakati unahitaji kumvuta mdau chemba kidogo. Sasa inakuwaje?
 
Hii chat naiona iko general sana kama ilivyokusudiwa. Kuna wakati unahitaji kumvuta mdau chemba kidogo. Sasa inakuwaje?
Huyo unayehitaji 'kumvuta chemba' mwambie muende Jf live chat ipo hapo juu,mkifika huko click jina lake na mtakuwa chemba 'wawili tu'.
 
dah! Kweli. Tatizo sijaitumia jf effectively. Asanteni
 
Back
Top Bottom