chat facebook kwa kutumia operamini ya simu

chat facebook kwa kutumia operamini ya simu

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,062
Reaction score
43,477
nafahamu mnajua application nyingi za kuchat kwa simu ila i think hii ni nzuri kwa watu wa simu ambazo sio smartphone na wanataka kuchat at the same time kubrowse kutumia njia hii

Kwanza uwe umelogin facebook katika opera yako then click link hii

https://touch.facebook.com/buddylist.php

Enjoy facebook kwa operamini then bookmark ili next time uspate shida
 
Asante Chief nimeikubali halafu kama umeniokoa flani maana "Nimbuzz" ilianza kuniletea shida.
 
ukitaka kuchat nae unabonyeza wapi?naona watu online nikibonyeza aitaki
 
simu yangu ni LG KP 500

Hii huduma haijalish unatumia simu gan as long as una operamini itafanyakazi

Kama hutaona kitu ina maana hamna mtu ambaye yupo online. Kama mtu yupo online utaona picha kidoti cha kijani na jina la huyo mtu so we click then utaona sehemu ya kuchat
 
Sasa unaidownload au ndo ukshaifungua hapa ndo bac? Je kama badae nataka kuitumia tena nfanye je?
 
Chief mm nataka kuweka opera mini kwenye cm yangu nashindwa,lakini mwanzo ilikuwapo ika corupt.cm yangu ni NOKIA 3110c
 
samsung sgh d780 haifanyi kazi vizur sana option inayokubali na kumtumia mtu sms lkn msg nliyotumiwa cna jinsi ya kuzifungua kwani co link
 
Sasa unaidownload au ndo ukshaifungua hapa ndo bac? Je kama badae nataka kuitumia tena nfanye je?

Ungekua makini maneno yangu ya mwisho ungeelewa. Kuna kitu kinaitwa bookmarks katika operamini so ad as bookmark ili next time uopen kutokea kwenye simu yako
 
Back
Top Bottom