Mjihadhari sana na hao viongozi wa chaso,kuna viongozi wa chaso saut nyegezi mwanza,wameshanunuliwa,habari nilizonazo kutoka hapo saut nyegezi ni kwamba,wasira alipokuja aliwatafuta na kuwapa dau,wakakubaliana waendelee kupiga siasa wakiwa chaso baadae wajitoe,chanzo cha habari hizi kilikuwa na kadi za ccm za vijana hao,kwakuwa Mimi siwajui sikuamini habari hizi,ila ni vizuri kuwa na tahadhari,ili hata kama ni kweli chadema muwe tayari mmejipanga kukabiliana nao.binafsi nilisikitika ingawa bado sijatibitisha.