CHASO mkoa Iringa wamemtesa katibu wa CCM mkoa Iringa

CHASO mkoa Iringa wamemtesa katibu wa CCM mkoa Iringa

MUSUMIFYCOM

Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
55
Reaction score
28
CHASO mkoa Iringa wamemtesa katibu wa CCM mkoa Iringa, Hassan Mtenga.

Umoja wa wanafunzi vyuo vikuu unaoundwa na vyuo zaidi ya vitatu mkoani humo ambavyo ni university of Iringa(Tumaini),Ruaha Catholic university ruco,Mkwawa University, MUCE na vingine, katibu wa CCM mkoani humo amesikika akilaumu katika vyombo vya habari mara nyingi kwamba ameshindwa maeneo yanayozunguka vyuo hivyo ni kwa sababu vijana wasomi wanaamini katika demokrasia na maendeleo ya kweli hvyo kuamua kuchagua CHADEMA.

Katibu huyo wa CCM mpaka sasa ameiona CHASO ni umoja ambao unamtesa sana na kumfanya kila muda kufikiria jinsi gani atapata vijana waliojitolea kama hawa wanaokiunga mkono chama cha CHADEMA.
 
Asihangaike nao. Vijana wanazo akili zao na wanajua wanalolifanya.
 
Mara nyingi vijana wa Vyuo si wapiga kura ni wasumbufu tu
kikifika kipindi cha uchaguzi unakuta mata wapo Field au likizo au wamemaliza
watu wanaofuata mkumbo wa Mob-Justice ni kuachana nao wakajiandikishe huko mitaani pembezoni mwa Vyuo
huwezi piga kura Hospital, au maofisini
Achananeni NAO hao CHASO
 
Lakini katika taarifa ya Star TV CCM Mkoa wa Iringa wanawalalamikia TAMISEMI kuwa ndiyo waliosababisha CHADEMA kuongeza viti kutoka kimoja kilichokuwepo hadi hamsini.
 
sio hamsini ni 64 CDM +1 cuf manispaa ya iringa ni shida mchawi hajajulikana up to now
 
Ccm imeanza kuweweseka sasa. Ilifikiri itadumu madarakani hadi kiama?. Wananchi wameamka na wameshawaona kuwa ni mafisadi na wala rushwa tu. Wakubali wafe kama KANU ya kenya huenda siku ya ufufuo mtarudi na mbinu nyingine mkiwa wasafi ila kwa sasa hamkubaliki hata na wazee mliokuwa mnawategemea.
Ukiongeza na hotuba ya jana tena, ndo kabisaaaaa mnakaribia mortuary. Karibuni kwenye kambi ya upinzani mkutana na TLP na UDP ya Cheyo. Sina uhakika kama mtaelewana kama zamani.
Nasi vijana tupongezane kwa kuionyesha ccm kuwa si mama yetu na 2015 ni kuidelete na kuitupa kule mbali.
 
maeneo yanayozunguka sua walihakikisha mwanafunzi hujiandikishi wala kupiga kura!eti sio wakazi hata kama umepanga mtaani miaka 3!
 
Back
Top Bottom