LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Jamani nashukuru sana kwa kuwa nami, Mungu awabariki. Kupitia pm nawatumia msg wote kesho ukumbi, uchangiaji na nimewanote wageni wapya Mboga nyiru na Voice of wisdom. Tutakopotoa half rate sponsor anajulishwa anajazia ili tufanye booking one wk before. Mengine mjadala unaendelea hapa. Asanteni sana
Pamoja sana Mama Joe hakika tuko pamoja jamani!
Nawapongeza sana,nasikitika kuikosa hii fulusa kwa sababu ntakuwa safari.nawatakia mwanzo mwema mkutano utakaofuata tutakuwa pamoja.kubota mbona umeadimika?
Nawapongeza sana,nasikitika kuikosa hii fulusa kwa sababu ntakuwa safari.nawatakia mwanzo mwema mkutano utakaofuata tutakuwa pamoja.kubota mbona umeadimika?
Mkuu hakika tarehe lengwa Kubota atakuwepo nasi!
Mama Joe moja ya mambo tutakayo zungumza ni pamoja na Study tour ambapo inaweza kuwa Kenya au Uganda nchi za jirani kwanza.
sure.hii imenigusa kwani mimi ni mojawapo ya mjasiriamali ambae napata changamoto nyingi sana sana kwenye limited capital nilionayo.
Karibu tujifunze kwa karibu pamoja. Masuala ya limited capital hayo hauyaishi so far as your business is not in ICU one day yes. Ni kukazana huku ukiangalia mianya mingine lakini zaidi kubana matumizi zaidi ili kuweza kuinua mtaji. Karibu sana
Wakuu mimi ni mpya kwenye uzi huu ila nimevutiwa sana na hili jambo la kuwa na vikao vya kukutana wajasiriamali kwa ajili ya kutengeneza network zaid, hope kama tutakuwa serious kuna sehemu tutafika. Hongera sana kwa aliyeanzisha hili wazo
asante mkuu Chasha katoa wazo zuri sana nasi tunaitumia fursa maana ni adimuWakuu mimi ni mpya kwenye uzi huu ila nimevutiwa sana na hili jambo la kuwa na vikao vya kukutana wajasiriamali kwa ajili ya kutengeneza network zaid, hope kama tutakuwa serious kuna sehemu tutafika. Hongera sana kwa aliyeanzisha hili wazo
pole sana sasa issue iliyopo na tumeishajadili sana hapa jamvini kuhusu mitaji ni 1. kuangalia wapi unaweza jibana na kutumia resources ulizo nazo mf labda unauzia kwenye frame kodi kubwa umeishatengeneza jina waweza hamia frame cheap au kwako kabisa si watu weshakujua?asante sana.ila mimi hilo ndo tatizo kubwa sana kwngu maana inafika wakati OPPORTUNITY COST inanitesa.nauza vinywaji jumla but mtaji mdogo sana...
pole sana sasa issue iliyopo na tumeishajadili sana hapa jamvini kuhusu mitaji ni 1. kuangalia wapi unaweza jibana na kutumia resources ulizo nazo mf labda unauzia kwenye frame kodi kubwa umeishatengeneza jina waweza hamia frame cheap au kwako kabisa si watu weshakujua? 2. kukopa nii ni aidha mikopo ya muda mfupi kwa watu ila riba kubwa kwa benk au saccos nk 4 kama cost inaendelea kuwa kubwa mno kuliko kipato ni kuangalia fursa zingine ili ku raise capital ya hii biashara mf ukauza vitu vingine vya ziada ili kuongezea mtaji au kukidhi mahitaji binafsi ili kuweza wekeza mapato yote ktk hiyo biashara. Haya tunakwenda kuyaongelea kwa kirefu zaidi huko, mie pia najifunza by trial and error tunafika