LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Shida ya wasiotaka kuelimika wakiona maandishi mengi hivyo hawasomi, wanakimbilia kuchangia ujinga na kuendelea kulalamikia serikali, mf hao waliogundua opportunity ya kufata vitu china ilkuaje, hao wanaofuga kuku serikali imewashikaje mkono, shida ni kutaka kuajiriwa serikalini wakati hata nchi zilizoendelea serikali inaajira chache. Mtu mtaani kwao kuna migahawa mizuri, hawana juisi ya maembe, badala akauze pale anakaa kusubiri serikali imuajiri, shwain kbs
Chasha Poultry Farm
Mama Joe
idea
Malila
ngoshas
Muinjilisti
Na wadau wenzangu wote wa jukwaa letu napenda niwasalimu wote katika jina la Bwana.
Hakika nimekuwa nje ya jukwaa kutokana na majukumu ya hapa na pale........ila nimepita post zote pale nilipokwamia na nimeona mawazo ya kila member kwa mtazamo wao.....hakika nimefurahi sana ndugu zangu.
Kwa mtazamo wangu na fikira niliyonayo na niliyopata kwa kuchanganya na mawazo yenu ni kwamba zoezi hili hakika tutalifanikisha kwa uwezo wake Mungu
Mama Joe endelea kuweka msingi vizuri na ingependeza kama ukajua ni member wangapi tunakuja hapo Moro isije ikafanana na ile ya kwangu ya member fulani wameniita na nilipofika Dar hawajajitokeza hata mmoja.
Sitamani yaliyonikuta yatokee na leo tena hapo Moro
Sina mengi ya kusema zaidi ya member watakaokuwa on line wajitokeze mapema sana kwani sisi Member wa Arusha tuko tayari muda wowote.
Na nyote tuwe na wakati mzuri popote pale mlipo!!
karibuuu tunaendeleaNinafuatilia hii thread kwa makini, Nitakuwa/tutakuwa mmoja wa washiriki, Nina amini itafanikiwa
karibu tunafatilia ukumbi mwisho tutakubaliana hapa kabla ya ijumaa hiiMama Joe nitashiriki taratibu zikoje wadau. .
amen karibu sanaAhsante mbarikiwe
thanks ni kweli accomodation hiyo ni option tu muhimu ni hiyo conference package na mimi naona iko fair hasa kama wameweka lunch na tea aidha saa 4 au saa 10 jioniKwa conference package naona kama ipo very fair, labda accommodation, kwa Mororgoro kuna lodges zipo powa na cheap compared na Moro hotel. tuendelee kusikiliza wadau wengine wanasemaje. Kwaku naona ipo powa
thanks ngoja waje waa,ue hapa tutakujulisha but its possiblethe cost per head is very reasonable ..... given the fact of the status and credibility of the venue ...
Naomba kujua proposed start and closing time of the gathering/meeting ..... hii itaniwezesha ku-schedule go and return trip from Dar at the same day
count me in
asante Chasha na mimi nafikiri hili ila nitawa pm members ili kufikia wk hii kila kitu kiwe clear. Wageni au wataalamu au wafanyabiashara wakubwa (role model) tunaweza jaribu waalika ili kushare experience na kutangaza bidhaa zao. Kuhusu presentation sio lazima lakini itakuwa boring kama siku nzima ni oral ppt bila vielezo so mwenye nayo aje nazoMama Joe hongera sana kwa kazi nzuri, na kilichopo ni watu kweli wawe commited kuhudhuria, na vile vile kuna optional kama mtaona Dar ni sawa basi tunaweza fanyia Dar make siajua watu Mikoani wako wangapi, ili tujue in akua vipi.
Kuhusu Projector ni kwamba ni lazima tukubaliane hapa kama kutakuwa na presentation na kuhusu nini na nani atapresent,
Na Watu wanaweza vile vile kuwaalika wadau wengine ambao wako nje ya jf wakaweza kujumuika nasisi.