Chaser tourer au cresta gx100 zinatafutwa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
9,227
Reaction score
9,356
kichwa cha habari kinajieleza,natafuta gari moja wapo kati ya hizo zilizotajwa hapo juu,kama unayo weka picha na bei hapa, mi mwenyewe mtoto wa mjini kwa hiyo please TUSIPOTEZEANE MUDA na magari mabovu nayajua,muda ni mali.bajeti yangu haizidi m7.5
 
Mbona unajiwahi mkuu 0715591141 nipigie kesho nkupatie hiyo gx100, utaikagua kwanza ukipenda tutafanya biashara, karibu
 
sawa mkuu utashika namba ya safaricom kwa simu yako,tuesday ndio nakuja dar
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…