Sikiliza nikuambie wewe mtoa mada
KWANZA hujui chochote kuhusiana na tamaduni za makabila mbalimbali nchini na nje ya nchi.
PILI wewe unaongozwa na maneno ya kuambiwa huna lolote ulilo tafiti
TATU mtoto ana thamani yake binafsi, hakuna heshima ya mtoto inayotokana na kabila lake au kabila jingine
NNE wewe ni mbumbumbu hujifunzi kabla ya kuuliza, mtu anayeuliza kabla ya kujifunza binafsi ni mjinga wa kwanza.
TANO acha ushabiki wa kitoto, kama wewe ni mwanaume unadhalilisha wanaume wenzako wanaotumia akili kuwaza na kuchambua
SITA ukikua utaacha mambo ya kudandia treni kwa mbele
Mokoyo
Kila kabila ina yake.
Msukuma anaitwa wengine: Jogori
Mkurwa nadhani anaita: Mshashi
Mhaya anaitwa nadhani: Nyarubanja? aah nimesahau.
Kwa nini umekuwa very bitter? Ni nini kimekugusa kwenye post yangu? Put it clear.
hamna kipya ulichoandika
Kilichoniboa ni wewe kutopenda kujifunza na kuuliza very light questions.
Tambua kila kabila lina jinsi ambavyo linawa-name makabila mengine aidha wanaume au wanawake.
Hakuna implication yoyote kwa watoto ila wewe unajaribu kujenga taswira isiyokuwepo.
Swali: WEWE KABILA GANI? UNAJUA CHOCHOTE KUHUSU KABILA LAKO?
jibu maswaliKwa hiyo ndo ukaja na matusi yote kuanzia namba moja hadi sita. Wa hovyo kabisa wewe.
Kwa nini umekuwa very bitter? Ni nini kimekugusa kwenye post yangu? Put it clear.
jibu maswali
Kila kabila ina yake.
Msukuma anaitwa wengine: Jogori
Mkurwa nadhani anaita: Mshashi
Mhaya anaitwa nadhani: Nyamhanga
Atakuwa ni mchagga huyo.