CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
X shemeji mdogo wangu CHAMInglady hajambo!
kulikoni asubuhi namna hii unamsumbua?
Wewe umemwota nini????
sijamwota, nilimuwaza
nimemsumbua nani Passion Lady, ntakuwa siwajulii hali
Sis huyo ndi shemeji yako wa ukwenhe.... Hakuna kama yeye lols... Hebu edit hapo kwenye X
​mlibugiana hhahaaa!!kwani tulimezana? hahahahahaa marhabaaaa
ulimuota hhahahaaa!!ilikuwa usiku wa manane
Wapi? Nyerere Square?wknd hii ntaenda town center
Mona weito charminglady mbuyole. Kana kula C6 newe moko wane?mia
charminglady umefanyaje eti?