Charminggirl is now known as Charminglady

Pole sana CL kwa yaliyokupata na yanaeleweka.Ila sasa password yako iandike kiganjani yasije yakakukuta tena ukaja upya kama CharmingWoman!
 
Pole sana CL kwa yaliyokupata na yanaeleweka.Ila sasa password yako iandike kiganjani yasije yakakukuta tena ukaja upya kama CharmingWoman!

hahaaa HYGEIA umenchekesha sana mkuu. mwishowe ntaja na charminggrandma!
 
Hali zenu wakuu wanajamvi... kutokana na mambo mengi katika kichwa kimoja cha Charminglady formerly Charminggirl, nimelazimika kubadili ID kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu! Naomba kuzitaja ila sitapenda kubezwa. Nilisahau password nikajaribu kutumia password helper bila mafanikio. so siku nzima ya jana nilikuwa najaribu kila option nikashindwa. Ndio sababu nimeamua kurejister kwa ID nyingine. Naomba mnipokee kwa mara nyingne. Miss u saaaaaaaana!!!!!!!

Cheers Ol..............

good name as always
 
Back
Top Bottom