AsanteeeeNawapa dedication wimbo wa Moni "Nichumu" napenda ile sehemu anasema "mtoto so fresh mtoto so clean". Bila shaka Demiss atakuwa na sifa tajwa!
Umenenaaa mkuuAcha akabe tuu, wahenga walishasema,"Mtu chake".... Kama jina lako [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Harikaa natonga kwa ngathuu yenu......
Heheheheheheee Kasie mie ni shiiiddeeer ningekuwa mpare sijui ingekuwaje.
Demiss wapare ni watani zangu usione nabonga kifaransa hehehehhee wenyewe wanasemaga ukijua kipare umejua kizungu. Kisaa ile salamu yao...... "watidhee" kwa kiingereza ni "what is that..." hahahahaha hapo mpare utabishana nae hadi asubuhi na mambo zao za kesi ya kukudai shilingi 500 anaenda kuhonga kuku wa shilingi elf 20 ili ashinde kesi akifunge.
UtanifundishaaaaHahahaaa atajua kila kitu
Una hamu ya kugeuzwaa kisusioi love Demiss![emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamgeuza sofaaaSaa kumi mbali[emoji35] [emoji35]
Mimi huwa nafanya kazi ya uchochezi hapa JF wala huwa sina kazi nyingine!!Una hamu ya kugeuzwaa kisusio
Nimeshindwa kuelewa hivyo vi mwiba hapo ukutani ni vya niniDemiss (Jr's heart bit) View attachment 716537
Na hicho kiti ni cha nini huko chumbaniPambo lenye ulinzi
Ua lisilonyauka
Alama ya upendo usioisha
Si utamuumiza mtoto wà watu?Benchi la mitindo huru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kigoda kabisa.... Maamiti... [emoji35] [emoji35] [emoji35]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi huwa nafanya kazi ya uchochezi hapa JF wala huwa sina kazi nyingine!!
Waoooo hubbyPambo lenye ulinzi
Ua lisilonyauka
Alama ya upendo usioisha