Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,469
- 101,432
Naona mahaba niue,karibuni bugarama mje kunywa lubisi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]salama mkuu nakusalimu nikiwa nimejaaa mahaba telee ninayopatiwa na mme wangu Jr
Asanteee sana kwenye ulimwengu wa mahusiano sijawahi kuona mwanaume kama Jr yan sijawahi.serious i can feel you wifi ake..yaan dah!...hongereni...
[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]awwwwwwwww
Naona unacheza box to box ,asee nimekubali ingawa nichelewa harusi,mlete Shem boda huku ktk rusumo water falls[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani kaka anakupenda mpaka shetani anaona wivuYan wifii acha tu niishie hapaaa huyu kaka ako amenifanya crazy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataman tu uwe mm hata siku mojaa uone pendo la Jr linavyonichanganya akili yan mpaka wakat napika nahadithia jiko ninalotumia upendo ninaopatiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I can't wait!!¡!!!Loving you the way it is nakuja Demi wa mimi
We toka nikuombe elfu 5 ukapotea
napambana na hali yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poye mwaya
Asante sana tumekaribiaNaona mahaba niue,karibuni bugarama mje kunywa lubisi
Safi sana hiyo mkuuu