Charm decor this is for you

Sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi unayonipatia,
moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima
kukupatia .

Nakupenda mme wangu mpaka mawe miti na mawingu nimeyahadithia upendo unaonipa.
[emoji322] [emoji323] [emoji322] [emoji322] [emoji322]
 
Sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi unayonipatia,
moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daima
kukupatia .

Nakupenda mme wangu mpaka mawe miti na mawingu nimeyahadithia upendo unaonipa.
Hadi mashairi dada???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…