Boeing 757
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 288
- 623
We unadhani nani mkali ? Ni kazi gani za hawa jamaa zinakuvutia? Hawa ma legend ni kati ya binadamu wachache sana ambao wameingia kwenye kumbukumbu za dunia kwa vizazi vya sasa na vingi vijavyo.
Kwa ucheshi wao wameitendea taaluma yao ya uchekeshaji haki. Rowan Atkinson wa Johnny English

Au Ni CHARLIE wa the kid.
Binafsi nawakubali wote.
Kwa ucheshi wao wameitendea taaluma yao ya uchekeshaji haki. Rowan Atkinson wa Johnny English

Au Ni CHARLIE wa the kid.
Binafsi nawakubali wote.