M MwanaCCM Senior Member Joined Feb 5, 2007 Posts 110 Reaction score 23 Aug 26, 2011 #1 Huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa Tanzania.
LiverpoolFC JF-Expert Member Joined Apr 12, 2011 Posts 11,496 Reaction score 3,389 Aug 26, 2011 #2 MwanaCCM said: Huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa Tanzania. Click to expand... <br /> <br /> Mkuu! 2pe chanzo chake kidogo angalaua 2funguke macho kuhusu huyu Charles Kitwanga.
MwanaCCM said: Huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa Tanzania. Click to expand... <br /> <br /> Mkuu! 2pe chanzo chake kidogo angalaua 2funguke macho kuhusu huyu Charles Kitwanga.
T tshaka Member Joined Apr 16, 2010 Posts 55 Reaction score 6 Aug 26, 2011 #3 MwanaCCM said: Huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa Tanzania. Click to expand... Hacha kukulupuka wewe,nini sasa?
MwanaCCM said: Huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa Tanzania. Click to expand... Hacha kukulupuka wewe,nini sasa?
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Aug 26, 2011 #4 mwanaccm said: huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa tanzania. Click to expand... ona sasa na huyu ni mwanaccm anagombana na mtu anamweka hapa! Bila evidence yyeyote!
mwanaccm said: huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa tanzania. Click to expand... ona sasa na huyu ni mwanaccm anagombana na mtu anamweka hapa! Bila evidence yyeyote!
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 300 Aug 26, 2011 #5 MwanaCCM said: Huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa Tanzania. Click to expand... Ungeweka ushahidi ingekujengea heshima kwa wana JF, vinginevyo haya ni majungu tu
MwanaCCM said: Huyu jamaa ni mmoja ya mafisadi wakubwa Tanzania. Click to expand... Ungeweka ushahidi ingekujengea heshima kwa wana JF, vinginevyo haya ni majungu tu
pangalashaba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 1,325 Reaction score 1,615 Aug 26, 2011 #6 mwanaccm.. huyu jamaa ni mmoja wa mafisadi wakubwa tanzania.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,811 Reaction score 13,769 Aug 26, 2011 #7 Mwaga data zaidi mkuu,iko shallow.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,577 Reaction score 18,716 Aug 26, 2011 #8 Hakuna data wala nini............. jungu linakaangwa
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Aug 26, 2011 #9 Kwani ni nani??