Charity Begins at Home

Barikiwa...iweni wapole kama Hua na kuwa wanyenyekevu (WAISLAMU) kama nyokA...............nimependa kujishusha kwako
Amina mkuu! Barikiwa sana pia.
 
Mkuu wa Kiwanda, anayajua haya malalamiko ya Wananchi wa Mtwara?.
 
message Sent, Delivery

Bora wakomae la sivyo watavisikia kwenye digitali tu
 
Watu wameanza kuamka mdogo mdogo
 
wamakonde tukikasirika patachimbika, kamata nchale mpaka kunakucha
 
Hili la bandari--------------bagamoyo,
gesi-----------------------bagamoyo
viwanda--------------------bagamoyo

nimelipenda, maana hata Pinda ssa kila kitu anakimbizia katavi/Rukwa
tusiokuwa na mawaziri kutoka mikoa yetu tuumie!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…