mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,260 Reaction score 12,872 Oct 26, 2021 #1 Habari zenu wakuu, Naomba msada kwa anayejua Charges za Simbanking kutoka Account ya CRDB kuhamisha kwenye account ya NMB kwa kiasi cha kama 2m mbili makato ni kiasi gani? Si mnajua kwasasa kila shilling counts, hali sio hali.
Habari zenu wakuu, Naomba msada kwa anayejua Charges za Simbanking kutoka Account ya CRDB kuhamisha kwenye account ya NMB kwa kiasi cha kama 2m mbili makato ni kiasi gani? Si mnajua kwasasa kila shilling counts, hali sio hali.
Spectophotometer JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 378 Reaction score 507 Oct 28, 2021 #2 Ni gharama kidogo approximately 8000 hadi 10000 kwa muamala.Rahisi ni CRDB kwenda CRDB Kama 1200. Nashauri itoe kwa teller then kaiweke kwa wakala wa NMB
Ni gharama kidogo approximately 8000 hadi 10000 kwa muamala.Rahisi ni CRDB kwenda CRDB Kama 1200. Nashauri itoe kwa teller then kaiweke kwa wakala wa NMB
mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,260 Reaction score 12,872 Oct 28, 2021 Thread starter #3 Spectophotometer said: Ni gharama kidogo approximately 8000 hadi 10000 kwa muamala.Rahisi ni CRDB kwenda CRDB Kama 1200. Nashauri itoe kwa teller then kaiweke kwa wakala wa NMB Click to expand... Ahsante mkuu mie natumia mtu mkoani kutoa crdb simbaking kuenda acc ya Nmb yake.
Spectophotometer said: Ni gharama kidogo approximately 8000 hadi 10000 kwa muamala.Rahisi ni CRDB kwenda CRDB Kama 1200. Nashauri itoe kwa teller then kaiweke kwa wakala wa NMB Click to expand... Ahsante mkuu mie natumia mtu mkoani kutoa crdb simbaking kuenda acc ya Nmb yake.
Rujeje Senior Member Joined Apr 14, 2021 Posts 101 Reaction score 145 Oct 28, 2021 #4 mulwanaka said: Ahsante mkuu mie natumia mtu mkoani kutoa crdb simbaking kuenda acc ya Nmb yake. Click to expand... Itoe kisha nenda NMB ukamuwekee kwenye account yake
mulwanaka said: Ahsante mkuu mie natumia mtu mkoani kutoa crdb simbaking kuenda acc ya Nmb yake. Click to expand... Itoe kisha nenda NMB ukamuwekee kwenye account yake
mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,260 Reaction score 12,872 Oct 28, 2021 Thread starter #5 Rujeje said: Itoe kisha nenda NMB ukamuwekee kwenye account yake Click to expand... Sawa mkuu