Mp3wifi unapata kila nyimbo unayotaka,hata zilipendwa kama hiiMkuu.. Nimetafuta sana google ila nikijaribu kudownload inagoma... But asante sana nimeupata... Hii ndo raha ya JF
Mkuu ukishajua jina la wimbo na aliyeimba si unaufata google tu?
Acha uvivu..
Mp3wifi unapata kila nyimbo unayotaka,hata zilipendwa kama hii
Ingia googleNaomba nisaidie nyimbo ya Kama Ningekuwa Star ya Mike T aka Mnyalu.
Ingia google
Andika mp3wifi..ile suggestion ya kwanza kabisa ya google ndo unaclick hapo
Unaandika Mnyalu-ningekuwa star,search then download
Itabidi tumuombe Mike T mwenyeweNimejaribu imegoma, inaleta choices tofauti tofauti. Hakuna huo wimbo.
[emoji23][emoji23][emoji23]..hizi kejeli hizi sio mchezo kabisa..Kwani mikopo bado hamjapewa?
Itabidi tumuombe Mike T mwenyewe