Chapa na mihuri ya kichawi


Bila ya shaka na wewe una chapa ya aina yake
 
Hiyo kitu aliyofundisha ni Serious sana....Hata cc tumefundishwa jana tofauti nikichwa cha Somo tu cc ilikuwa nikuhusu Ufahamu...Ila ukickiliza mafundisho km haya vzr unaweza kujijua uko wapi tatizo ya mambo ya kiroho yanahusu nafsi zaidi
 
Mbez mwisho stend hakuna gar wasafir kibao tunatoa macho tu na kuchungulia barabara kama linakuja kumbe haliji duuuh

Mngekuwa ferry ningewaambia mpige mbizi! Lakini sasa hivi nitawaambia nendeni kwa mguu!
 
Mbez mwisho stend hakuna gar wasafir kibao tunatoa macho tu na kuchungulia barabara kama linakuja kumbe haliji duuuh
Nisubiri hapo hapo nikupe lifti ukiiona Noah ya kijani no t 222 dsv isimamishe nitakuwa ndo mimi nadhani nitakuwa nafanya ibada kubwa kuliko hao wanaowekana mihuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…