Chaos at the Boarder

Writing on his Facebook page earlier on Sunday, Moh Farah had said: "On 1 January this year, Her Majesty The Queen made me a Knight of the Realm. On 27 January, President Donald Trump seems to have made me an alien."

Farah said he believed Trump's policy "comes from a place of ignorance and prejudice" and that his own story was "an example of what can happen when you follow polices of compassion and understanding, not hate and isolation".
 
Nibaki kwenye pointi ipi hapo? zaidi ya kutaka kufukua makaburi, utake usitake bila ya Marekani kuwa na UTU nchi yao isingekuwa ilipo Sasa.

Kwa bahati mbaya sana chuki yako binafsi kwa taifa la Marekani haiwezi badili baraka wapatazo kwa Muumba. Leo hii ukiingia Marekani unasikilizwa japo unaweza usipate unachohitaji huo Ni UTU.

Raia akisema nina njaa haitwi mchochozi, Raia akimuuliza SWALI kiongozi wake anapewa jibu Wala hatungiwi Sheria ya kumbana asiulize tena (Mitandao) huo Ni UTU pia.
 


This's a mess!, naona GOP wanachanganyikiwa sai.

Reuters is reporting, Canada is stepping in.

Canada to offer temporary residency to travellers stranded by U.S.
 
Ni wakati sasa kwa watu wa mataifa mbalimbali kutengeneza nchi zao, ni wakati wa kuwaweka viongozi wanaoweza kuzisukuma nchi zao kujiimarisha kiuchumi,
 
Hahahahaa.. daah we jamaa hatuwezi kuargue kwa kweli.. tuna miono na fikra tofauti mno.. cant merge them together...
Bila shaka tunapishana tunavyoudefine UTU...

SIJASEMA NAICHUKIA MAREKANI (unalazimisha kunilisha maneno yako..may be ni defensive mechanism ya kujustify msimamo wako..maana mwanzo ulianza kuniattack na machato mara bunge. This time umenivisha chuki)..
Nilichomekea kaneno kadogo kenye maana kubwa nikasema unaijua CAPITALISM?..

Ngoja nikuibie siri..ukisoma haya majibu yako utayasummarize kwa maneno matatu tu; AMERICA FOR AMERICANS.

naomba tuishie hapa.. tusameheane kwa tulipopishana
 
Daah na sisi tuzuie wakimbizi kutoka nchi zote za Maziwa Makuu hasa Rwanda, Congo na Burundi
 
Nilielewa unapotaka kwenda ndio maana nakupeleka kiivyo, mtazamo wako ulijidhihirisha kwenye bandiko lako la kwanza uliingia kwa hasira huku umeshikilia Neno moja tu "UTU" katika yote niliyoandika.

Bado unaendelea kuniuliza maswali ya kiganjani kama Yule aliye-copy na ku-paste PhD ya korosho ha ha haaa UBEPARI sio swali la kuuliza mtu humu hayo ulizaneni huko Nanjilinji

Eti 'America for American' Sasa ulitaka iwe 'America kwa Watanzania- Waafrika' ulipiga kura kumchukua Raisi, Jaji au seneta Marekani? Zungumzia ya nchi yako acha kijicho kwa waliokuzidi.
 
Sasa ukishakubali ya kuwa non-American citizens hawako pale kuenjoy privileges kama American citizens.. THERE IS NO NEED YA KUCOMPLAIN JUU YA TREATMENT MBAYA ANAYOTOA TRUMP..
.....
SIKUINGIA KWA HASIRA KWENYE POST YA KWANZA.. NILIKUULIZA KINAGANAGA TU...
...
Niko open minded sana ndugu.. huwa najitahidi kuyatazama mambo kwa uhalisia wake
.......
IF I WERE TO BE ASKED..nitasema sera za Trump sizikubali (ila kwa kuwa najua ile nchi ni typical capitalist huwa natuloa tu)...
Kwa kujua hilo ndio maana nikawa nachelea kukubali jamaa hawajawahi kuwa nagawatakuja kuwa na misingi ya utu...
..
Pia unakosea mno kunishabihisha na chama fulani hapa nchini.. tafadhali mimi sio muumini wa siasa zao
 
Tatizo lako ni moja tu... UNAISHI KWA DHANA... umeshajingengea fikra ya kuwa kila mtu anaichukia marekani.. au kila mtanzania aliye nchini unaamini anawachukia diaspora.. MBAYA ZAIDI SIJUI UNADEFINE VIPI TERM *ALIYEKUZIDI*
unakimbilia kutoa kejeli... bahati mbaya mara zote hiyo sio njia nzuri ya kujilinda dhidi ya hoja isiyofanana na yako...
MFANYE MTU AVUTIKE NA MSINGI WA HOJA ZAKO NA SIO KEJELI ZAKO..
 
Naona hawezi kumaliza mwaka huyu. Madaraka yamemlevya. Yeye kutwa kucha anafikiria jinsi ya kushika papuchi, zee zima halina hata aibu! lakini wamarekani tuliwaambia huyu hafai kuwa kiongozi hawakusikia chacha imekul akwao watakiona cha ntema kuni.
 


Hili li rais jinga sana.
​
 
It just shows how shallow minded you are.
 
Kwanini hayo immigrants na refugees from those Arabic countries hawakimbilii nchi za kiarabu kama UAE, Qutar etc. Trump as the US president is right. Hata mm JPM akifanya km Trump anavyofanya for Tanzanians nitamu support 100%
No wonder hujawahi hata kuongoza hata kwenye kikundi cha vikoba
 
UK May alikuwa amemkaribisha sasa kuna shinikizo kubwa afute mwaliko. Na kama ataenda hayo maandamano yake ya kumpinga nadhani yanaweza kuvunja rekodi ya maandamano yaliyowahi kufanyika London na si ajabu Ulaya yote.

Kabisa. This's more of Isolate-ism, and less of Protectionism.
 
Reactions: kui
UK May alikuwa amemkaribisha sasa kuna shinikizo kubwa afute mwaliko. Na kama ataenda hayo maandamano yake ya kumpinga nadhani yanaweza kuvunja rekodi ya maandamano yaliyowahi kufanyika London na si ajabu Ulaya yote.


Asee, wameweka shinikizo. Anawa bore mpaka allies sasa na ndo kwanza anatia mguu ofisini. It's been a week of fast and furious...lol!

Huu upinzani unaoendelea na hii unpopularity kama itaendelea hivi, anaweza kumaliza tofauti sana na alivyoanza, by loosing seats in houses.
 
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…