dorcas1234
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 116
- 34
Me loves you.chanzo si wanaume.....ni akili yako mwenyewe mwanamke....
km umelelewa vyema..maadili mema na uwoga wa mungu ukawa nao na kijielimu kdg basi nadhan vtakusaidia katika kuthk na kureason kila jambo unalotaka fanya.....
yaan ujiharibu kisa mwanaume?
MBONA AKIKWAMBIA BIBIE KALALE CHOON LEO AUEND Y?KWANINI AKIKWAMBIA MI NAPENDA UWE MWEUPE BASI FASTA MKOROGO UKO WAP....NI WEWE UNA MSIMAMO GAN NA UNATAKA NINI ..MSIWASINGIZIE WANAUME....ukiwa na msimamo na mwili wako akikwambia masuala ya kwa mchina sjui kaongeze **** kajichubue utamjibu tu baba samahani mi sina lakin kuna wadau wanayoso pls the dooor is open u just go....ntampata atakayenipenda na matakao yangu ya bat na hips zangu za mjomba.....ahh jaman sjui twaenda wap....akil za kike zazid didimia kicosmetics:scared:
chanzo si wanaume.....ni akili yako mwenyewe mwanamke....

Me loves you.
Chanzo ni ULIMBUKENI na KUKOSA KUJIAMINI kwa mtu binafsi na sio mwanaume.
Sijawahi hata fuga au kata kucha zangu zaidi ya nnavyopenda alafu leo hii nikaongeze hips na lawama nimrushie mwanaume? You oughtta be kidding me.
Me loves you.
Me loves RoseMe too........
kwani unadhani wanaoenda kwa mchina wanaambiwa nenda? la hasha wanajipeleka wenyewe maana wanaangalia mtazamo wa kaka zetu.
me loves all :A S crown-2:Me loves Rose
wewe acha uchokozi.Kwani sasa hivi unazo hips?
Mwisho wa wiki nilimsindikiza rafiki yangu kariakoo alikuwa ameelekezwa na mtu kwenda kutafuta dawa yakui
toa vichunusi,sasa tulipofika hapo kumbe duka ni la mzaire mana nilisikia wakimuita papa.Baada yakuhudumiwa mara akatokea dada mmoja nikasikia anamwambia papa,nimekuja kuweka hips,nikashangaa nikamuuliza kwani huduma hiyo ipo?papa akanizodoa eti unashangaa nini?
mara dada huyo akajitoma ndani nami nikawa makini kuona nini kinaendelea jamani niliyoyashuhudia ndiyo yamenifanya niandike,papaa akachukua mabomba yasindano kan
ma yakuchoma ng'mbe akajaza dada akavua sket yake papaa akachoma kushoto na kulia kisha dada akaambiwa asubiri dkk 20,baada ya dkk hizo dada anavaa sketi haiingii mahipsi yametuna papa akamwambia sketi haiwezi pita kama vp nunua dela,nami sikukubali nikamwambia dada naomba kuhakikisha kama kweli ni yaukweli loooh!nilipogusa kama nimeshika godoro,dada akavaa dela akaishia zake na hips zake.
Nasema nyie wanaume ndiyo chanzo kwa mfano,ukiingia love connect utakuta mtu anatafuta mwenza sasa ivo vigezo mwenyewe unachoka.Mara awe na mahipsi,kijungu cha maana,na mengine mengi ambayo yanawafanya wenzetu wanahangaika kama hivyo.
Kina kaka punguzeni maharti na vigezo jamani.
NAWAKILISHA.
wewe acha uchokozi.
kwani unadhani wanaoenda kwa mchina wanaambiwa nenda? la hasha wanajipeleka wenyewe maana wanaangalia mtazamo wa kaka zetu.
Najua wewe unazo tena zako kubwa hizo...