Chanzo cha wake za watu kuchepuka

sababu kubwa ya mke kuchepuka ni wewe mume ukose pesa . Fanya kazi uwe na pesa mtimizie mahitaji yake yoote full stop .
 

Unless wewe ni mwanamke na hii ndio tabia yako!Cheating ni tabia haijalishi umeolewa kwa ndoa au mmechukuana tu!Wazazi wetu wengi tu enzi hizo hakukuwa na hizi ndoa, wamefunga uzeeni na mama zetu hwakuwa wachepukaji kama ilivyo leo!Hizi ni tamaa na sio kwa sababu eti hajafunga ndoa!Mwanamke wa namna hii ni hatari zaidi ukifunga nae ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…