Chanzo cha vurugu mbagala hiki hapa

Chanzo cha vurugu mbagala hiki hapa

naombeni radhi kwa hiyo kauli hapo juu ila ni uchungu jamani!! Mafundisho yetu ya kiislamu hakuna kushabikia ugaidi lakini mafundisho yetu ni kumuabudu mungu , kufuata amri kumi za mungu, kuwaheshimu watume plus jesus, swala , matendo mema na mengine mengi mazuri!!!

unavijimambo kaka...fikiri kabla ya kutenda..!
 
Back
Top Bottom