Mhafidhina
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 549
- 22
Wanajamvi mpo, salam aleikum...!
Leo naomba kupata ushauri wa kidaktari (kitabibu)
Nini chanzo cha vijambo na kucheua? KUna dawa ya kupunguza/kukomesha kucheua na kujamba?
Hilo tu ndio swali langu...! Asanteni...!