mie naonaga wanawake wengi ndio wavumilivu sana when it comes to mahusiano
Wanawake wengi ni wavumilivu BT huwa siku akichoka vituko vyako na karaha zako bhaas jua anaweza kukuambia au kufanya jambo ambalo litakuumiza maisha yako milele.
Chanzo cha ndoa kuvunjika ni watu kutokufanya majukumu yao.both sides mkuu.
Wa kwangu kanivumilia sana mpaka huwa naona aibu na huwa nashangaa aliwezaje kuvumilia takataka zote nilizokuwa nafanya. Mleta uzi kwa hili unawasingizia labda michepuko.
Kama tunapima kwa kilo asee wamama wanatushinda kwa wema na ukarimu pia!!!!!!
Wako wachache vimeo ila kwa ujumla sie wanaume wengi tuna madudu hata shetani sa nyingine anaogopa!!!!!!
Siku hizi kila mtu mfilipino, sio mwanaume au mwanamke.
mie naonaga wanawake wengi ndio wavumilivu sana when it comes to mahusiano
Wanawake wanakosa uvumilivu kwenye ndoa, wanatamaa, wanataka mapenzi ya kifilipino wakati wakijua wapo Afrika, wajuaji, wanajali pesa kuliko mapenzi.
sasa sijui mama zetu wangekuwa kama hawa wengi tungeishia kulelewa na mama wa kambo
badilikeni igeni toka kwa mama zenu.
Bora useme tu mkuu
Wanawake wengi wavumilivu sana .hat kama moyo unavuja damu ataonesha tabasamu usoni
Ni % ndogo ndo ya wanawake ndo vimeo