Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,446
Kwahiyo tatizo ni wanawake si ndio!!!Kipindi hiki ni kipindi ambacho
-mwanaume akiongea na mwanamke anaongea hakuna wa kujishusha, kitu ambacho kimsingi chapaswa kufanywa na mwanamke na si mwanaume kama kichwa cha familia.
-Wanawake kujiona wana ubora na kudeserve vitu perfect ambavyo hata kwenye uhalisia wa maisha havipatikani.
-Wanawake wengi kuwa wajuaji, kila kitu anajua(ngumu sana kuishi na mwanamke wa aina hii).
-Maonesho, watu wanapoingia kwenye ndoa wanagundua kuwa ndoa zenyewe hazivutii kama walivyofikiri kumbe ni kwamba kuna tofauti kati ya expectation and the reality of life.