peter chula
Senior Member
- Jun 8, 2013
- 123
- 68
Toka nikiwa mdogo huwa najiuliza swali hili je chanzo cha mmea mhindi ni nini? Na kwanini binadamu Tunapenda sana kuutumia yaani hata ukibadilisha chakula lazima utarudi tu kwenye ugali. Natamani sana kufahamu chanzo chake ni nn hasa na yalianzeje kutumika?