Kwa nini mtu unakaa na cash nyingi hivi nyumbani?? Milioni 300???
Hivi Geita hauna Benki?
Kutokana na aina ya biashara aliyokuwa anafanya hakuna cha ajabu hapo. Wafanyabiashara wengi wa madini huwa wanakuwa na pesa Kama hizo au zaidi nje ya mabenki. Ukiletewa mzigo usiku wa milioni 20 utafanyaje na huku mabenki yanakuwa yamefungwa. Mara nyingi hao wauzaji wadogo wadogo wanataka hela hapo hapo hamna habari ya njoo kesho uchukue hela.Kwa nini mtu unakaa na cash nyingi hivi nyumbani?? Milioni 300???
Hivi Geita hauna Benki?
Ni Ulimbukeni Kama hauna kitu unategemea mshahara. Ila kwa watu wenye hela zao ni kawaida sana kuwa na hela Kama hizo nyumbani mkuu. Usiogope mkuu,milioni 300 nyumbani kuna watu sio Issue...ni Kama sisi walala hoi kuwa na elfu 50 ya emergency nyumbani.Ni ulimbukeni tu, fikiria na yule wa Arusha aliyefanyiziwa hotelini ..........................!:nono:
Ni Ulimbukeni Kama hauna kitu unategemea mshahara. Ila kwa watu wenye hela zao ni kawaida sana kuwa na hela Kama hizo nyumbani mkuu. Usiogope mkuu,milioni 300 nyumbani kuna watu sio Issue...ni Kama sisi walala hoi kuwa na elfu 50 ya emergency nyumbani.
nakuunga mkono mkuu,hata mimi siweki pesa bankKutokana na aina ya biashara aliyokuwa anafanya hakuna cha ajabu hapo. Wafanyabiashara wengi wa madini huwa wanakuwa na pesa Kama hizo au zaidi nje ya mabenki. Ukiletewa mzigo usiku wa milioni 20 utafanyaje na huku mabenki yanakuwa yamefungwa. Mara nyingi hao wauzaji wadogo wadogo wanataka hela hapo hapo hamna habari ya njoo kesho uchukue hela.
Hamna cha ajabu kwa mfanyabiashara wa aina hiyo kuwa na kiasi Kama hicho nyumbani kwake au ofisini. Benki ni wasumbufu sana haswa mikoani...kuna watu wananielewa namaanisha nini hapa.
Kutokana na aina ya biashara aliyokuwa anafanya hakuna cha ajabu hapo. Wafanyabiashara wengi wa madini huwa wanakuwa na pesa Kama hizo au zaidi nje ya mabenki. Ukiletewa mzigo usiku wa milioni 20 utafanyaje na huku mabenki yanakuwa yamefungwa. Mara nyingi hao wauzaji wadogo wadogo wanataka hela hapo hapo hamna habari ya njoo kesho uchukue hela.
Hamna cha ajabu kwa mfanyabiashara wa aina hiyo kuwa na kiasi Kama hicho nyumbani kwake au ofisini. Benki ni wasumbufu sana haswa mikoani...kuna watu wananielewa namaanisha nini hapa.
Sio kwa Bank system ya kiTanzania na Network issues. Hata iwe karne gani Tanzania bado tuko nyuma katika masuala ya Banking. Suala sio sehemu za kutunzia pesa Kibweka. Suala ni upatikanaji wa hela yako kwa haraka pindi utakapohitaji kwa emergency au suala la kibiashara.Kwa karne hii hufai kufanya hivyo hata kama una hela zimejaa dunia nzima, sehemu ya kutunzia zipo zimejaa tele kwa nini ku - risk?
Ya nini na kwa mahitaji gani uweke 300 ml home?
Inategemea na biashara unayofanya. Wengine biashara zao akiuza mara moja ndo anapata hiyo milioni 300, na kama biashara imefanyika muda ambao benki zimefungwa afanyeje?Kwa nini mtu unakaa na cash nyingi hivi nyumbani?? Milioni 300???
Hivi Geita hauna Benki?
Ni Ulimbukeni Kama hauna kitu unategemea mshahara. Ila kwa watu wenye hela zao ni kawaida sana kuwa na hela Kama hizo nyumbani mkuu. Usiogope mkuu,milioni 300 nyumbani kuna watu sio Issue...ni Kama sisi walala hoi kuwa na elfu 50 ya emergency nyumbani.
Wingu la sintofahamu kuhusu kifo cha mfanyabiashara wa madini aliyedaiwa na polisi kujiua mkoani Geita (runzewe) baada ya ndugu wa marehemu kukataa kuuzika mwili wa marehemu mpaka uchunguzi(postmortem)ufanyike na hela zinazokadiriwa 300m alizokuwa nazo nyumbani kwake zilichukuliwa na polisi zipatikane,mwili umekutwa na tundu mbili za risasi kichwani na tumboni kitu kinacholeta wacwac kama kweli alijiua..juhudi za rpc wa geita kuwatisha wazike zimeshindikana na marehemu amekwamia geita hospital
Inavyosemekana na Ndugu wa Marehemu na watu walioshuhudia Polisi wakimchukua Marehemu nyumbani kwake.Kwa hiyo waliompiga risasi waweza wakawa ndio hao waliochukuwa 300 mil?
Huo ndio ukweli halafu benki kuna ukiritimba mara hakuna network na mauzauza kibao,biashara zenyewe za papo kwa hapo je akipata dili siku ya jumapili au sikukuu? si atakuta mwana si wake.