Chanzo cha mapato redioni

kichwa kubwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
268
Reaction score
216
Salaam sana, napenda kujua vyanzo vya mapato ukiondoa matangazo. Hapa nijumuishe pia kwa redio zinazoanza kazi.

Karibuni
 
Kuhongwa na kutangaza habar za uzushi na kuchafua watu ... Media ni silaha hatar sana.. Unakumbuka Manji vs Mengi battle.. Manji alivochafuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…