Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,390
R.I.P B12
Mkuu kwanini haya hukuyasema kabla?
Kwa sababu alikua hajui kama sisi tu mkuu.
Na Million 6 biashara gani naweza kufanya hapa Marekani na ikanitoa kimaisha?
😂😂😂Amka kijana
Halafu clouds tv imebadilika sana nahisi kuna mkono wa nchakali maana mwanzoni ilikuwa haina vipindi sana wala mvuto kama saa hiiNchakali baada ya kutoka SCANAD ndio karudi kukisimamia
Wale wanaotaga aka MATAGA wataunga mkono.Chadema watabisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We unatani wa ngumiHatimaye wapendanao wanaungana kwa ukaribu zaidi.
Huyo jamaa aliiharibu radio free naona ameenda kuumaliza na cloudsYupo clouds mkuu ila Yuko nyuma ya microphone anasuka mipango unayoisikia kwenye burudani.
You can't be seriousHuyo jamaa aliiharibu radio free naona ameenda kuumaliza na clouds
HahaaKwa sababu alikua hajui kama sisi tu mkuu.
Hahahahahaha daaahh, aliiharibu kivipi yaaniHuyo jamaa aliiharibu radio free naona ameenda kuumaliza na clouds
HahahaDuh kuhama kwa jamaa uchumi wa nchi utatetereka.
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Chadema watabisha
Extra extra large (kubwa kuliko)XXL maanayake nini
Hahaha! Hii mpyaKshindo cha #JPM
OK!Extra extra large (kubwa kuliko)
Hata hivyo hilo jina wamelikwapua katika magazine Fulani hivi toka USA
Umemsahau Abubakar SadickSijui wengine huwa mnaangalia vipi uwezo wa watangazaji.
Iko hivi kwa show za mchana Tanzania yote hakuna kama Twangala.
Hao kina crispin ni wapiga kelele tu hawajui kitu.
Mtu aliyekuwa anamuweza Dozen kwa show za mchana alikuwa Kidbway na mwamba mmoja nimemsahau wa RFA miaka hiyo now days namuona yupo na online radio.
Umemsahau Abubakar Sadick