Wanadai eti anaumwa, nimeambiwa na mtu hapa ambaye anasikilizaga XXL kila siku... Mimi ubusy umenifanya nisiwe nasikiliza redio sana. Pia B12 akiwaonge na Jonijo kwenye kipindi cha gerezani alisema kwamba Majizzo alimfuata toka EFM imeanzisha alikuwa akimsumbua akawa anazingua, ila later akaona kile kinachomfurahisha kwenye music industry kama huku hakipo huku anaona majizzo kama mwelekeo na maono yake ndo future. Halafu design kama vile ruge angekuwepo asingeondoka maana swali la Jonijo lilikuwa inasemekana kama Ruge angelikuwa hai usingeondoka Clouds.