mayowela JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,757 Jun 3, 2020 #81 jimmyfoxxgongo said: Yeah sky mzee anajua sana Mwamba Kidbway yupo clouds fm? Anafanya kazi gani pale Yeah skywalker Yeah mkuu Fredrick bundala. Click to expand... Kidbwoy yuko upande wa Ubunifu na Maudhui
jimmyfoxxgongo said: Yeah sky mzee anajua sana Mwamba Kidbway yupo clouds fm? Anafanya kazi gani pale Yeah skywalker Yeah mkuu Fredrick bundala. Click to expand... Kidbwoy yuko upande wa Ubunifu na Maudhui
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,105 Reaction score 17,968 Jun 3, 2020 #82 mkumbwa junior said: Kama Pj na ghabash tu Click to expand... Yeah na Masoud Kipanya pia!
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,246 Reaction score 90,426 Jun 3, 2020 #83 Daudi Mchambuzi said: Inasemekana Dozen kilichomuondoa Clouds ni mapenzi. Aliyekua mpenzi wake ni HR, sasa hawa wadada wakishaachana na mtu figisu za wazi haziishi ndiyo mwamba akaona ajiweke pembeni. NB: Inasemekana. Click to expand... Clouds INA HR mwanamke ? Yule jamaa wa Arusha alishaacha ,au nimepitwa na mambo ya mjini ?
Daudi Mchambuzi said: Inasemekana Dozen kilichomuondoa Clouds ni mapenzi. Aliyekua mpenzi wake ni HR, sasa hawa wadada wakishaachana na mtu figisu za wazi haziishi ndiyo mwamba akaona ajiweke pembeni. NB: Inasemekana. Click to expand... Clouds INA HR mwanamke ? Yule jamaa wa Arusha alishaacha ,au nimepitwa na mambo ya mjini ?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,246 Reaction score 90,426 Jun 3, 2020 #84 mayowela said: Kidbwoy yuko upande wa Ubunifu na Maudhui Click to expand... Hahahaha, dah hiki kitengo Kitambo kilianzaga na Nchakali na Cindy
mayowela said: Kidbwoy yuko upande wa Ubunifu na Maudhui Click to expand... Hahahaha, dah hiki kitengo Kitambo kilianzaga na Nchakali na Cindy
mayowela JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,757 Jun 3, 2020 #85 mtu chake said: Hahahaha, dah hiki kitengo Kitambo kilianzaga na Nchakali na Cindy Click to expand... Nchakali baada ya kutoka SCANAD ndio karudi kukisimamia
mtu chake said: Hahahaha, dah hiki kitengo Kitambo kilianzaga na Nchakali na Cindy Click to expand... Nchakali baada ya kutoka SCANAD ndio karudi kukisimamia
mayowela JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,757 Jun 3, 2020 #86 mtu chake said: Clouds INA HR mwanamke ? Yule jamaa wa Arusha alishaacha ,au nimepitwa na mambo ya mjini ? Click to expand... I know its Mr KITOI
mtu chake said: Clouds INA HR mwanamke ? Yule jamaa wa Arusha alishaacha ,au nimepitwa na mambo ya mjini ? Click to expand... I know its Mr KITOI
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,246 Reaction score 90,426 Jun 3, 2020 #87 mayowela said: Nchakali baada ya kutoka SCANAD ndio karudi kukisimamia Click to expand... Yeah ,mwanzo ndio alianzisha akchukua Cindy toka east Africa, na Ray mshana
mayowela said: Nchakali baada ya kutoka SCANAD ndio karudi kukisimamia Click to expand... Yeah ,mwanzo ndio alianzisha akchukua Cindy toka east Africa, na Ray mshana
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,246 Reaction score 90,426 Jun 3, 2020 #88 mayowela said: I know its Mr KITOI Click to expand... Hahahaha, nami najua hivyo
carter JF-Expert Member Joined Jan 23, 2009 Posts 3,664 Reaction score 4,272 Jun 3, 2020 #89 mtu chake said: Clouds INA HR mwanamke ? Yule jamaa wa Arusha alishaacha ,au nimepitwa na mambo ya mjini ? Click to expand... Na mimi last time kuwafatilia HR alikuwa ni Kitoi... sasa nasikia ni mwanamke!
mtu chake said: Clouds INA HR mwanamke ? Yule jamaa wa Arusha alishaacha ,au nimepitwa na mambo ya mjini ? Click to expand... Na mimi last time kuwafatilia HR alikuwa ni Kitoi... sasa nasikia ni mwanamke!
T Turudi pale Rau Madukani JF-Expert Member Joined Jan 16, 2016 Posts 2,765 Reaction score 5,835 Jun 4, 2020 #90 Kidbwoy kama kweli yupo mawingu nilikuwa sijui kabisa. Nilikuwa napenda sana nyimbo alizotengeneza yeye jinsi anavyocharaza vinanda. Hebu tupate mmoja hapa wa Kwa ajili yako-Hussein machozi 2009
Kidbwoy kama kweli yupo mawingu nilikuwa sijui kabisa. Nilikuwa napenda sana nyimbo alizotengeneza yeye jinsi anavyocharaza vinanda. Hebu tupate mmoja hapa wa Kwa ajili yako-Hussein machozi 2009
Freightliner JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 720 Reaction score 528 Jun 4, 2020 #91 Kipangaspecial said: TinyMonster, Perfect Crispin the mnyama mkali atashika usukani Click to expand... Sio ka shoga kweli kale ka MTU!!!
Kipangaspecial said: TinyMonster, Perfect Crispin the mnyama mkali atashika usukani Click to expand... Sio ka shoga kweli kale ka MTU!!!
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 24,073 Reaction score 23,679 Jun 4, 2020 #92 Nataka kujua huyo mtangazaji akifika huko anapokwenda atakaa karantini au atapimwa joto tu?
denis fourplux JF-Expert Member Joined Aug 17, 2017 Posts 1,050 Reaction score 1,395 Jun 4, 2020 #93 Affet said: Ah..Skywalker(sijui km spelling ndio hz) huyo myama sana yule jamaa! Click to expand... Anajua kupita kiasi sauti yk unaweza isi ni millard msikilize kwenye SNS
Affet said: Ah..Skywalker(sijui km spelling ndio hz) huyo myama sana yule jamaa! Click to expand... Anajua kupita kiasi sauti yk unaweza isi ni millard msikilize kwenye SNS
Capital G JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 3,445 Reaction score 5,352 Jun 4, 2020 #94 Labda ndio rahisi kuwashawishi Makiseo said: Shadee wakishaachana muda.. huyo HR ni Faudhia.. Halafu sijui kwa nini B12 wasichana wake anachukua Hapo hapo Clouds? Click to expand...
Labda ndio rahisi kuwashawishi Makiseo said: Shadee wakishaachana muda.. huyo HR ni Faudhia.. Halafu sijui kwa nini B12 wasichana wake anachukua Hapo hapo Clouds? Click to expand...
Diana Spencer JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 3,611 Reaction score 5,167 Jun 4, 2020 #95 Syolosu said: OK kijana EX=X Click to expand... Ha ha ha
Diana Spencer JF-Expert Member Joined Nov 14, 2018 Posts 3,611 Reaction score 5,167 Jun 4, 2020 #96 Numbisa said: Huyu si ndie aliyembebelezwa kule bukoba ama? Click to expand... Ndo huyu huyu alishikwa kiuno huku akibembelezwa kifo cha broo wake
Numbisa said: Huyu si ndie aliyembebelezwa kule bukoba ama? Click to expand... Ndo huyu huyu alishikwa kiuno huku akibembelezwa kifo cha broo wake
Kim Jong Jr JF-Expert Member Joined Mar 15, 2014 Posts 11,570 Reaction score 21,529 Jun 4, 2020 #97 Pep said: Aisee Kidbway/ Sandu George kitambo sana pale radio free. Amekuepo clouds tangu lini? Click to expand... Yupo clouds mkuu ila Yuko nyuma ya microphone anasuka mipango unayoisikia kwenye burudani.
Pep said: Aisee Kidbway/ Sandu George kitambo sana pale radio free. Amekuepo clouds tangu lini? Click to expand... Yupo clouds mkuu ila Yuko nyuma ya microphone anasuka mipango unayoisikia kwenye burudani.
Pep JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,338 Reaction score 5,490 Jun 4, 2020 #98 Kim Jong Jr said: Yupo clouds mkuu ila Yuko nyuma ya microphone anasuka mipango unayoisikia kwenye burudani. Click to expand... Saasawa mkuu Kim Kwa sehemu ni fair kusema clouds wana deserve mafanikio waliyopata. Wamejitahidi sana kuwa na ile cream ya Tanzania nje na ndani ya uwanja
Kim Jong Jr said: Yupo clouds mkuu ila Yuko nyuma ya microphone anasuka mipango unayoisikia kwenye burudani. Click to expand... Saasawa mkuu Kim Kwa sehemu ni fair kusema clouds wana deserve mafanikio waliyopata. Wamejitahidi sana kuwa na ile cream ya Tanzania nje na ndani ya uwanja
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,008 Reaction score 28,342 Jun 4, 2020 #99 Aisee..
N ngongoti2000 JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 2,233 Reaction score 2,159 Jun 4, 2020 #100 Naona Form Six mmejisahau kama shule zimefunguliwa