Ndumbayeye JF-Expert Member Jan 31, 2009 7,335 3,902 Feb 12, 2012 #1 waungwana decoder yangu dsd 1131 imepoteza chanel kadhaa kwa zaidi ya wiki tatu sasa, nifanyeje kuzirudisha?
waungwana decoder yangu dsd 1131 imepoteza chanel kadhaa kwa zaidi ya wiki tatu sasa, nifanyeje kuzirudisha?
Inkoskaz JF-Expert Member Nov 6, 2010 6,372 2,375 Feb 12, 2012 #2 signal ya dstv imekuwa weak recently
Ndumbayeye JF-Expert Member Jan 31, 2009 7,335 3,902 Feb 12, 2012 Thread starter #3 tbc, afr magic swah, ss4 na 7, b4u na channeli zote za kenya zimehama kabisa
chitambikwa JF-Expert Member Nov 8, 2010 3,941 900 Feb 12, 2012 #4 Mpigie huyu atakupa no ya customer care ya dstv 0713601439. Ni mama Mzima
KIBURUDISHO JF-Expert Member Mar 28, 2011 1,002 274 Feb 13, 2012 #5 Angalia labda umeselect DSTV WEST AFRICA badala ya DSTV KU AFRICA.
Osaba JF-Expert Member Apr 10, 2011 1,937 772 Feb 13, 2012 #6 wala usihangaike tafuta fundi arekebishe huo ungo utakuwa umesheki coz ukiwapigia dstv watakwambia hivyohivyo
wala usihangaike tafuta fundi arekebishe huo ungo utakuwa umesheki coz ukiwapigia dstv watakwambia hivyohivyo
e2themiza JF-Expert Member Mar 29, 2011 974 563 Feb 13, 2012 #7 Itakuwa tatizo ni kwako either settings zimesetiwa vbaya au ungo umechange position. Lakn cku zote naona signal iko 100% na steshen zote zko hewani pamoja na mpya waliofungua ijumaa SS9 EAST
Itakuwa tatizo ni kwako either settings zimesetiwa vbaya au ungo umechange position. Lakn cku zote naona signal iko 100% na steshen zote zko hewani pamoja na mpya waliofungua ijumaa SS9 EAST
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Oct 5, 2007 23,268 17,099 Feb 13, 2012 #8 Uliyemtuma kukulipia kakupiga....kachahgua bukee ya chini