Habari wakuu, nipo nje ya Tanzania ila napenda sana kuangalia channel zake. Nimejitahidi kutafuta dish ambalo litakuwa lina beam zavTz nimekutana na hilo pichani.
Sasa naomba msaada wa haya.
1. Dish liwe la size gani?
2. Ni kweli local channel nitazipata?
Natanguliza shukran zangu.
Sent using
Jamii Forums mobile app