Channel ten pamoja na kupewa sh 200mil na Rais Magufuli lakini bado picha na sauti ziko vilevile, why?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,138
Nimesikitika kuona namna matangazo mubashara ya mkutano wa Waziri mkuu na wafanyabiashara wa jijini Dsm yalivyokosa ubora.
Picha zinachukuliwa upande mmoja tu, sauti haisikiki vizuri sanasana zinaonekana sare za kijani tu sasa sijajua kama hao nao ni wafanyabiashara.

Channel ten badilikeni bhana

Maendeleo hayana vyama!
 
200 MIL,loo ni fedha nyingi mno ILA ni FEDHA ambayo imetoka kwenye mfuko wake binafsi au ni fedha ya watanzania wote?je Bunge liliidhinisha hizi fedha ili zitolewe?na hii station inawajibika kwa nani ili kuleta mrejesho wa matumizi yake?,ninapopata muda ninasoma na kufuatilia yanayotokea pale Africa ya Kusini kuhusu tume ya STATE CAPTURE,NINAOMBA nayo hii ije kutokea hapa nchini in my life time,mengi yatatushangaza from CHAVDAS TO LADWAS etc etc
 

Magufuli aliwauliza mahitaji yao? Je walikuwa wanahitaji 2b ili mitambo iwe sawa? Huenda hizo 200m walilipwa wafanyakazi malimbikizo.
 
Magufuli aliwauliza mahitaji yao? Je walikuwa wanahitaji 2b ili mitambo iwe sawa? Huenda hizo 200m walilipwa wafanyakazi malimbikizo.
Walisema wanahitaji camera za kisasa.....wakapewa mil 100 kwa ajili hiyo, na 100m kwa hayo mambo mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…