Channel ten mnakera sana!!!!

Channel ten mnakera sana!!!!

Nyendeke

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2013
Posts
1,552
Reaction score
2,853
Habari za majukumu wana jf? Jaman ndugu zangu yani hawa jamaa wanakera hadi basi, yaan taarifa yao ya habari ya saa 1 ucku ni full matatzo Picha mbaya tena zna ganda sana, mara ukute habar znaingiliana na saut ndo mara ikatke.., hv inamaana wao hawaoni kua hili ni tatizo? Unakuta habari nzuri lakn ndo hutailewa kabsaaaa.., aaaah mnatuboa sana!!
 
Mi nilifikiri Dish langu haliko sawa kumbe kote
 
Hicho ndio kinyamuzi serikali yako ndivyo ilivyotaka, but kwa ushaur badilisha chanel
 
Habari za majukumu wana jf? Jaman ndugu zangu yani hawa jamaa wanakera hadi basi, yaan taarifa yao ya habari ya saa 1 ucku ni full matatzo Picha mbaya tena zna ganda sana, mara ukute habar znaingiliana na saut ndo mara ikatke.., hv inamaana wao hawaoni kua hili ni tatizo? Unakuta habari nzuri lakn ndo hutailewa kabsaaaa.., aaaah mnatuboa sana!!
Mimi hakuna kitu kinachonitatiza kama hiyo inayojiita chanel ten,habari zao utafikiri ni mhutasari wa habari.Mafano wakisoma habari ili iwe kamili na ujue undani wa ile habari lazima ufuatilie kwenye tarifa ya habari za TV zingine.Ndiyo maana wakaipeleka saa moja maana ni mhutasari wa habari habari kamili mpaka ITV saa mbili
 
Local chanel za TV za hapa bongo karibia zote zimelalamikiwa hapa JF,TBC ndio inaongoza kulalamikiwa.
Labda DTV,C2C, CTN na mlimani TV sikumbuki kama zimewahi lalamikiwa.
sijui tufanyeje?
 
Hicho ndio kinyamuzi serikali yako ndivyo ilivyotaka, but kwa ushaur badilisha chanel

Dah si bure hii nchi waliroga, sasa mkuu hapo ch 10 kuonesha vibaya serikal imekosa nini? Dah taifa la walalamishi hili! !!!!!!!!!
 
Habari za majukumu wanau jf? Jaman ndugu zangu yani hawa jamaa wanakera hadi basi, yaan taarifa yao ya habari ya saa 1 ucku ni full matatzo Picha mbaya tena zna ganda sana, mara ukute habar znaingiliana na saut ndo mara ikatke.., hv inamaana wao hawaoni kua hili ni tatizo? Unakuta habari nzuri lakn ndo hutailewa kabsaaaa.., aaaah mnatuboa sana!!

Kwani unalipia kuangalia kaka
 
Hivi wadanganyika kuna kitu kwenu kipo sawa ambacho mnaweza kujivunia?hata nchi yenyewe hamna wajanja walikwisha izika hai zamani.
 
TBC1 ndo mpango mzima,hakuna maluweluwe kama ya huto tuchannel uchwara
 
Back
Top Bottom