haaaaa umenichekesha sana...yaani picha zao zinavyoonyesha ndege zetu unaweza kujua tumeokota ndege
hahaha tatizo wao ndo wanaanza kuonyesha habari so mtu unataka kuwa wa kwanza kuziona habari zenyewe ndo unakutana na kamera za simu ya tecno zimechukua pichahaaaaa umenichekesha sana...
mie ile rangi yao huwa inanikata stim kutizama chanell 10
itakuwa ya simu tena tecnokwani channel ten wanatumia camera gani
Khaaa [emoji12]hahaha tatizo wao ndo wanaanza kuonyesha habari so mtu unataka kuwa wa kwanza kuziona habari zenyewe ndo unakutana na kamera za simu ya tecno zimechukua picha
Hili jiwe limetua sehemu nyingi [emoji125] [emoji125]n
itakuwa ya simu tena tecno
Hahahahah mmhh kweli wana jf MNA manenooooyaani picha zao zinavyoonyesha ndege zetu unaweza kujua tumeokota ndege
n
itakuwa ya simu tena tecno
Ni moja kati ya kituo kikongwe cha television lakini huwa hakiendani na mabadiliko ya sasahaaaaa umenichekesha sana...
mie ile rangi yao huwa inanikata stim kutizama chanell 10
ila picha zake mbayatecno mbona camera zake nzuri sana