Zooluline JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 206 Reaction score 102 Apr 17, 2015 #1 waungwana channel o dstv mwezi huu mwanzoni ilibuma na baadae ikapotea kabisa kwenye list ya channels, hv imekuwaje tena maana hata mziki mzuri siupati tena, wadau majibu please...
waungwana channel o dstv mwezi huu mwanzoni ilibuma na baadae ikapotea kabisa kwenye list ya channels, hv imekuwaje tena maana hata mziki mzuri siupati tena, wadau majibu please...
franco15 JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 518 Reaction score 208 Apr 17, 2015 #2 Wameifunga kwa muda wanjipanga upwa ili wakuletee vitu vizuri zaidi, walitangaza wenyewe.... Ngoja waje wafuatiliaji wakuelezee kiurefu
Wameifunga kwa muda wanjipanga upwa ili wakuletee vitu vizuri zaidi, walitangaza wenyewe.... Ngoja waje wafuatiliaji wakuelezee kiurefu
Plesis JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 948 Reaction score 862 Apr 17, 2015 #3 dah! me mwnyewe baada ya kuona hii post ndo nmekumbuka kuchek kweli haipo naona kwenye mpangilio wake imebak trace urban+mtv base
dah! me mwnyewe baada ya kuona hii post ndo nmekumbuka kuchek kweli haipo naona kwenye mpangilio wake imebak trace urban+mtv base
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,917 Reaction score 7,124 Apr 23, 2015 #4 lulu ameiua
Sammy Senior Member Joined Jul 19, 2014 Posts 132 Reaction score 59 Apr 23, 2015 #5 Walisema wanaifunga kwa muda, so wakasema uwe unaangalia Africa Magic or Maisha magic kwa music!
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Apr 23, 2015 #6 Bora ife tu. Tangu niifahamu sijawahi kuona wakipiga pini zenye mvuto. Kwangu mimi haina maana kabisa.
Bora ife tu. Tangu niifahamu sijawahi kuona wakipiga pini zenye mvuto. Kwangu mimi haina maana kabisa.