Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 194
- 851
HahahaaaKwa elimu ya chanjo niliyo nayo na miundombinu tuliyo nayo katika uhifadhi wa chanjo na hakika zile chanjo zitakuwa zishaharibika hivyo atakaye enda kuchanja hana tofouti na yule ambaye hajachanja…
Una uhakika unacho kinena?Kwa elimu ya chanjo niliyo nayo na miundombinu tuliyo nayo katika uhifadhi wa chanjo na hakika zile chanjo zitakuwa zishaharibika hivyo atakaye enda kuchanja hana tofouti na yule ambaye hajachanja…
100% mkuu, nenda hospitali zote za mikoa uone kama wana vihifadhi chanjo vya kutosha, sasa hizo chanjo walizopeleka huko wanahifadhia wapi hadi muda huu.Una uhakika unacho kinena?
Chanjo zimewadodea, sasahivi Watanzania sio mapompoma tena,hao mawaziri wawadunge watoto wao,huku kwetu mtaani corona tunaisikia redioni na kwenye matangazo ya tv,sasa nidungwe sumu za nini, wakati corona tangu imeingia sijawai kutana na mgonjwa wa corona,hata mtaani kwangu sijawai kusikia kifo cha mgonjwa wa corona.R.i.p Magufuri kwa kutuambia ukweli,hata ifike wimbi la kumi atuogopiSiku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema kuwa kinacho muumiza kichwa kwasasa ni wapi watapata chanjo zaidi, maana kwa jinsi hizi za awali zilivyo changamkiwa ni wazi kuwa hazitoshi.
Swali langu ni jepesi tu, endapo watu wanajitokeza kwa kasi hiii, mbona haziishi? Yaani pamoja na kuziandalia siku maalumu pale uwanja wa taifa, pamoja na timu zetu kuhamasisha mashabiki wake, pamoja na vyombo vya habari kuzipa promo, pamoja na viongozi wa Bunge kuhamasisha, pamoja na wasanii kuzitungia nyimbo lakini hazijaisha mpaka leo.
Nini tatizo? Waziri wa Afya na naibu wako mnakwama wapi?
Upo sahihi mkuu,kuna mahali nilipita na mchina flan tukakuta jamaa wanashusha box za chanjo,aisee yule mchina alishangaa sana akasema hivi kweli ile ndyo chanjo?mbona imewekwa hovyo vile,nikamuuliza kwann? akasema chanjo inatakiwa kuwekwa mahali penye kiwango flan hv cha ubaridi muda wote.Kwa elimu ya chanjo niliyo nayo na hii miundombinu tuliyo nayo katika uhifadhi wa chanjo na hakika zile chanjo zitakuwa zishaharibika hivyo atakaye enda kuchanja hana tofouti na yule ambaye hajachanja…
Mkuu unastahili like yanguChanjo zimewadodea, sasahivi Watanzania sio mapompoma tena,hao mawaziri wawadunge watoto wao,huku kwetu mtaani corona tunaisikia redioni na kwenye matangazo ya tv,sasa nidungwe sumu za nini, wakati corona tangu imeingia sijawai kutana na mgonjwa wa corona,hata mtaani kwangu sijawai kusikia kifo cha mgonjwa wa corona.R.i.p Magufuri kwa kutuambia ukweli,hata ifike wimbi la kumi atuogopi
Niliona BBC Swahili Kuna nchi hukuhuku Africa wanazipiga Moto zimekwisha muda wakeKwa elimu ya chanjo niliyo nayo na hii miundombinu tuliyo nayo katika uhifadhi wa chanjo na hakika zile chanjo zitakuwa zishaharibika hivyo atakaye enda kuchanja hana tofouti na yule ambaye hajachanja…
Pia hata kuonana na mwanga wa jua ni kosakubwa sana, cold chain ni muhimu ku-maintain nje ya hapo ni kama kufanya utani tu..Upo sahihi mkuu,kuna mahali nilipita na mchina flan tukakuta jamaa wanashusha box za chanjo,aisee yule mchina alishangaa sana akasema hivi kweli ile ndyo chanjo?mbona imewekwa hovyo vile,nikamuuliza kwann? akasema chanjo inatakiwa kuwekwa mahali penye kiwango flan hv cha ubaridi muda wote.
Hahahahaahaaa, watu watachanja zaidi ya mara 1Wakitupatia dollar 100 100 zitaisha zote
mo anaita “milon” badala ya milioni😂
Siku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema kuwa kinacho muumiza kichwa kwasasa ni wapi watapata chanjo zaidi, maana kwa jinsi hizi za awali zilivyo changamkiwa ni wazi kuwa hazitoshi.
Swali langu ni jepesi tu, endapo watu wanajitokeza kwa kasi hiii, mbona haziishi? Yaani pamoja na kuziandalia siku maalumu pale uwanja wa taifa, pamoja na timu zetu kuhamasisha mashabiki wake, pamoja na vyombo vya habari kuzipa promo, pamoja na viongozi wa Bunge kuhamasisha, pamoja na wasanii kuzitungia nyimbo lakini hazijaisha mpaka leo.
Nini tatizo? Waziri wa Afya na naibu wako mnakwama wapi?