Chanja njawiri school. Pemba.

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,380
Reaction score
2,956
Mwalimu alimuuliza mwanafunzi wake: Mwalimu 'gari kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu 'CAR'. Mwanafunzi wa pili akaulizwa, Mwalimu 'baskeli kwa kiingereza inaitwaje?. Mwanafunzi akajibu 'CHAZA'.
 
Kali !
 
kwa sisi watu wa pwani car = kaa ni aina ya kitoweo the same with chaza, kwa hyo hapo ni lugha gongana

Umenisaidia Mkuu. Safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…